Viwanja vinauzwa Kibaha, Pwani


🚨KIBAHA🚨KIBAHA🚨
📞📞📞 0767-281916
——————————————-
🚨 VIWANJA VILIVYOPIMWA 🚨
——————————————-
📍NI KIBAHA JIRANI NA OFFICE ZA NIDA (NIDA STREET)
🌐 METER 500 TU KUTOKA STAND MPYA YA MKOA NA METER 200 KUTOKA LAMI
🌐ENEO LIMEPIMWA KUANZIA UKUBWA WA SQUARE METER 500 NA KUENDELEA.
🌐MRADI UPO KARIBU NA MAKAZI YA WATU NA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII KAMA MAJI, UMEME NA BARABARA NI ZA UHAKIKA.
🌐BEI YA SQUARE METRE MOJA NI: 👉TSH 20,000 kwa mteja wa CASH
👉 TSH 22,000 kwa mteja anaelipa kwa awamu (INSTALLMENT)
🌐MTEJA ATAHITAJIKA KULIPA ASILIMIA 50% ya bei ya KIWANJA(kama analipa kwa awamu) KAMA MALIPO YA AWALI
🌐SWALA LA HATI -MTEJA ATAKAPO MALIZA MALIPO KAMA NI YA AWAMU ATAKABIDHIWA HATI,
-hati inachukua wastani wa siku 90(miezi mitatu maximum kuipata).
🌐MALIPO YA AWAMU NI YA MIEZI SITA (kama kutakua na mabadiliko yoyote mteja atazungumza na kampuni).
🌐MTEJA ATARUHUSIWA KUANZA UJENZI AU KUENDELEZA ENEO PALE ATAKAPO MALIZA MALIPO KWA ##100%.
🌐MRADI NI MAHUSUSI KWA MAKAZI NA BIASHARA PIA.
🌐HUDUMA YA KUTEMBELEA SITE NI KILA SIKU ZA WIKI KULINGANA NA RATIBA YA MTEJA NA MTEJA HATOTOZWA GHARAMA ZOZOTE KWA HUDUMA HIYO.
----------------------------------------
MIRADI MINGINE NI PAMOJA NA:-
🌐GOBA KULANGWA
🌐GOBA KINZUDI
🌐GOBA MTAMBANI
🌐GOBA YOTE KWA UJUMLA
🌐KIGAMBONI
🌐KIBAHA PICHA YA NDEGE
🌐KILUVYA
🌐BUNJU
KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE KWA NAMBA
📞📞📞 0767-281916
AU FIKA KATIKA OFISI ZETU ZILIZOPO MWENGE MPAKANI TANZANITE TOWER GHOROFA YA PILI.