Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigogo Fresh, Pugu, Dar Es Salaam (704 sqm)

video thumbnail
Sh. 95,000,000

Maelezo

NYUMBA YENYE SWIMMING-POOL,TSHS.95 MILIONI,KIGOGO-FRESH/PUGU.

Hapa ni kabla ya kufika CHANIKA Ukitokea PUGU-KONA, Wilaya ya Ilala.

Nyumba ni ya kisasa.
Vyumba 3 (Kila Chumba na Choo chake ndani)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 704.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Parking ipo na ina Paving Block

WAHI UJITWALIE MAPEMA.

_______________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

______________tP

Matangazo yanayofanana Pugu, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Pugu Kona, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 35,000,000

  • Umeme

  • Maji

  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Pugu Kona, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 35,000,000

  • Maji

  • Umeme

  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Pugu Kajiungeni, Dar Es Salaam

Sh. 95,000,000

  • Maji

  • Paving Blocks

  • Swimming Pool

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Pugu Kajiungeni, Dar Es Salaam

Sh. 95,000,000

  • Maji

  • Paving Blocks

  • Swimming Pool

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Pugu, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

  • Parking Space

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Open Kitchen

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Pugu, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

  • Parking Space

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Sebule

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Pugu, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

  • Parking Space

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Dining

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Pugu, Dar Es Salaam

Sh. 110,000,000

  • Parking Space

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Open Kitchen