Tafuta

Kiwanja kinauzwa Tabata Kinyerezi Kibaga Zabika, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 15,000,000

Maelezo

#Repost dalali_viwanja_nyumba_dar_
——
Kiwanja kinauzwa bei milion 15, ukubwa wa eneo la kiwanja square meter 400, eneo zuri sana pia barabara ya mtaa hipo hadi site ya kiwanja, pia hapa katika kiwanja kuna msingi wa nyumba ya vyumba 3 vya kulala, sebule, dining room, jiko na public toilet, na eneo hii ya kiwanja ina fensi pande mbili 2 tayari, kutoka kituoni dakika 4 hadi 5 tu, hii kiwanja hipo maeneo ya tabata kinyerezi kibaga zabika dar es salaam

Ndugu mteja changamuka eneo aikai hii ni kama bahati tu🏃🏃‍♀️

Calls/whatsapp au

Service charge tsh 50000

Follow dalali mchina tabata kinyerezi
Istangram
Facebook
Tik tok
You tube
X tw...

Dalali tabata kinyerezi tz

dalali_tabata_kinyerezi_tz

@dalali_tabata_kinyerezi_tz

View Listings
Dalali tabata kinyerezi tz