Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Maelezo
🏡 Hili Boma la kisasa linauzwa kigamboni
📍Location yake; Dar es salaam kigamboni
🛌 Lina vyumba vitano 2|masters
🚕 Parking kubwa #Sqm500
💰45M, Tzsh🇹🇿, maongezi kidogo yapo
* NOTE* hili boma lipo sehem nzuri sana hakuna changamoto yoyote ya barabara na limejengwa kisasa.
Kama umevutiwa napo Basi Nichek DM📧 au kupitia namba zangu hapo chini
0656775637 & 075548984















