Tafuta

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni, Geza Ulole, Dar Es Salaam (1350 sqm)

Sh. 770,000,000

Maelezo

🏡 GHOROFA INAUZWA – KIGAMBONI, GEZA ULOLE 🔥

✨ FURSA NZURI YA KUMILIKI NYUMBA YA KISASA! ✨

Ghorofa nzuri inauzwa katika eneo la Kigamboni – Geza Ulole, eneo tulivu na linalofaa kwa makazi ya familia pamoja na uwekezaji.

🏠 SIFA ZA NYUMBA:
✅ Mfumo wa Ghorofa
✅ Vyumba 5, vyote Master
✅ Sebule kubwa
✅ Dining
✅ Jiko
✅ Eneo kubwa lenye nafasi nzuri

📐 Ukubwa wa Kiwanja: SQM 1,350
📄 Nyaraka: Hati ya Wizara

📍 UMBALI:
📌 Mita chache kutoka Baba Alami
📌 Takribani KM 11 kutoka Ferry
📌 Takribani KM 10 kutoka Daraja la Nyerere

💰 BEI: TZS MILIONI 770
🤝 Mazungumzo kidogo yapo.

🔥 Nyumba hii inafaa sana kwa makazi ya familia, uwekezaji, Airbnb au nyumba ya kifahari.

📞 Wasiliana nasi:
📍Service Charge 30,000

#trendingvideo #istagram #realestateagent #realestateforsale #trendingaudio

Dalali Kigamboni mbavu

dalali__kigamboni_mbavu

@dalali__kigamboni_mbavu

View Listings

Matangazo mengine Kigamboni, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Cheka Kigamboni, Dar Es Salaam (4200 sqm)

Sh. 165,000,000

For Sale4 beds1 bath4,200 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Sh. 1,000,000,000

For Sale5 beds1,200 sqmhouse
Dalali Kigamboni mbavu