Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kibada, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kibada
<> nyumba ina chumba kimoja master sebule na jiko mpya
◾️nyumba iko fenced
◾️nyumba ina parking
◾️nyumba ina electric ⚡️
◾️nyumba ni apartment
<> asking price 300k TSH! per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
<> services charge 20k zingatia utalatibu
◾️umeme luku yako
◾️Maji bule kabisa
◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837















