Tafuta

Viwanja vinauzwa Kerege Kilemela, Pwani sqm 400

video thumbnail
Kerege, Pwani
1 month ago
Sh. 9,000,000

Ukubwa

400 SQM

Barabara ya Karibu

2.5km

Huduma na Sifa

Hati
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara
Ardhi Iliyopimwa

Maelezo

Mnaoniulizia viwanja vya bei nafuu ndugu zangu hivi hapa. Tsh mil 9 tu unapata kiwanja kilichopimwa na hati miliki bure.
Location: Vipo Kerege kilemela. Kilometa 2.5 pekee toka lami.

Ukubwa: vinaanzia SQM 400 mpaka 500 vyote bei moja ni kuwahi kwako ndo kutakupa nafasi kubwa ya kuchagua.

Piga simu 0789 100 100 ukihitaji au tembelea ofisi za @vijana_realestate zilizopo Tegeta Azania CHIEF HOUSE ghorofa ya kwanza

Matangazo mengine Kerege, Pwani