Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENTS CLASSIC FOR RENT
KODI 250,000 × 4
LOCATION: KIMARA KOROGWE
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI KM 1.7 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA DK 5 MPKA 7 KWA MIGUU UPO NYUMBANI AU UPANDE BODA 1000 TU MPAKA GETINI
✔️SEBULE KUBWA
✔️CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
✔️JIKO ZURI KUBWA LINAWEKWA MAKABATI
✔️PUBLIC TOILET NZUR YA NJE
✔️TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
✔️LUKU YAKO
✔️MAJI YAPO #METER YAKO
✔️DAWASA YANAFLOW NDANI 24HRS
✔️FENI ZINAFUNGWA
✔️NDAN YA FENCE
✔️PARKING SPACE KUBWA 🚘
✔️PAVING BLOCKS ZINAWEKWA
✔️MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp