Apartment ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Kimanga, Dar Es Salaam (700 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 APARTMENTS 3 ZINAUZWA – TABATA KIMANGA, DAR ES SALAAM 🇹🇿
💰 Bei: Milioni 250
📐 Ukubwa: SQM 700
Fursa adhimu ya uwekezaji! Apartments hizi tayari zimepangishwa na zinaingiza kipato kila mwezi.
✅ Hati Miliki ipo
✅ Ziko ndani ya fence
✅ Kila nyumba inajitegemea
✅ Parking ya kutosha
✅ Maji na umeme vipo
✅ Mazingira mazuri na salama
🏠 Apartments 2
• Kila moja ina vyumba 3 vya kulala
• Chumba 1 ni Master
• Sebule
• Jiko
• Choo cha Public
🏠 Apartment 1
• Ina vyumba 2 vya kulala
• Sebule
• Jiko
• Choo
📍 Zipo Tabata Kimanga, katika eneo linalokua kwa kasi na lenye mahitaji makubwa ya nyumba za kupanga.
💵 Tayari zinaingiza kipato kila mwezi kupitia wapangaji waliopo.
📞 Muhitaji piga 0744112394
💵 Service Charge/Gharama ya Huduma: 30,000/=















